Nembo ya TartilTartilRedio mubashara

Sura Quraish: maandishi na tafsiri ya maana

Sura ya 106 katika Msahafu, aya 4, inaanzia ukurasa wa 602.

Sikiliza visomo vyakeSoma sura hii katika Msahafu pamoja na tafsir‹ Sura Al-FilSura Al-Ma'un ›

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

1. Kwa walivyozoea Maqureshi.

2. Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto.

3. Basi na wamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii.

4. Ambaye anawalisha kutokana na njaa, na anawalinda kutokana na hofu.

Tafsiri ya maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center, toleo la 1.0.5, imechapishwa bila mabadiliko kutoka QuranEnc.com. (QuranEnc.com)

Tafsiri huwasilisha maana za Qur'ani tu; si Qur'ani yenyewe. Qur'ani ni maandishi ya Kiarabu yaliyo hapo juu.

Sikiliza visomo vyakeSoma sura hii katika Msahafu pamoja na tafsir‹ Sura Al-FilSura Al-Ma'un ›