Nembo ya TartilTartilRedio mubashara

Sura Al-Kauthar: maandishi na tafsiri ya maana

Sura ya 108 katika Msahafu, aya 3, inaanzia ukurasa wa 602.

Sikiliza visomo vyakeSoma sura hii katika Msahafu pamoja na tafsir‹ Sura Al-Ma'unSura Al-Kafirun ›

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

1. Hakika tumekupa Al-Kawthar (heri nyingi).

2. Basi swali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi.

3. Hakika anayekuchukia ndiye aliye mpungufu mno.

Tafsiri ya maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center, toleo la 1.0.5, imechapishwa bila mabadiliko kutoka QuranEnc.com. (QuranEnc.com)

Tafsiri huwasilisha maana za Qur'ani tu; si Qur'ani yenyewe. Qur'ani ni maandishi ya Kiarabu yaliyo hapo juu.

Sikiliza visomo vyakeSoma sura hii katika Msahafu pamoja na tafsir‹ Sura Al-Ma'unSura Al-Kafirun ›