Nembo ya TartilTartilRedio mubashara

Sura Al-Kafirun: maandishi na tafsiri ya maana

Sura ya 109 katika Msahafu, aya 6, inaanzia ukurasa wa 603.

Sikiliza visomo vyakeSoma sura hii katika Msahafu pamoja na tafsir‹ Sura Al-KautharSura An-Nasr ›

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

1. Sema: Enyi makafiri!

2. Siabudu mnachokiabudu;

3. Wala nyinyi hamuabudu ninayemuabudu.

4. Wala sitaabudu mnachoabudu.

5. Wala nyinyi hamuabudu ninayemuabudu.

6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.

Tafsiri ya maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center, toleo la 1.0.5, imechapishwa bila mabadiliko kutoka QuranEnc.com. (QuranEnc.com)

Tafsiri huwasilisha maana za Qur'ani tu; si Qur'ani yenyewe. Qur'ani ni maandishi ya Kiarabu yaliyo hapo juu.

Sikiliza visomo vyakeSoma sura hii katika Msahafu pamoja na tafsir‹ Sura Al-KautharSura An-Nasr ›